klabu ya Manchester united Leo imekamilisha ushindi wa 18 kwenye ligi baada ya kumbamiza Newcstel katika mwendelezo wa ligi hiyo.

mchezo hu uliochezwa katika uwanja wa Old trafor umeawafanya United kufikisha alama 57 ikishikilia nafasi ya 8 na katika timu 20 za ligi hiyo.


Comments